• Hamasa pekee haitakupa mafanikio.

    Watu wengi sana wanaotafuta mafanikio wamekuwa wanafikiri kwamba kukosa hamasa ndiyo kitu kinachowafanya wao kushindwa kuchukua hatua na ndiyo maana hawafanikiwi. Kutokana na mawazo ya namna hii watu wamekuwa wanatafuta hamasa kwenye maisha yao ili waweze kuchukua hatua wakiamini kwa wao kuwa na hamasa ya kufanya kile wanachotamani kufanya ndiyo utakuwa msingi mkuu wa wao…

  • Mambo matatu unayoyaitaji ili kufikia mafanikio ya juu zaidi kwenye maisha yako.

    kila mmoja anatamani Sana kufanikiwa katika maisha yake, lakini wengi wetu hatujui ni namna gani tunaweza kufanikiwa. Kwa kutokujua huko ndiko kumetufanya tuendelee kuishi kwa namna ileile na kufanya mambo yaleyale na kwa jinsi ileile miaka nenda miaka rudi na tunashangaa kwa nini maisha yetu hayabadiriki kabisa. sasa kwa kuwa swala la kutafuta mafanikio siyo…

  • Hii ndiyo njia ya mkato ya kufikia mafanikio kwa haraka.

    Kila mmoja anataka kufikia mafanikio makubwa kwenye maisha yake. Hili linadhihirishwa na jinsi watu wanavyo fanya Kazi kwa bidii Sana wakitafuta pesa zitakazo wasaidia kutimiza maitaji Yao na kuwa na maisha yenye furaha. licha ya kuwepo kwa njia mbalimbali za kutafuta pesa na mafanikio, bado watu wengi wameshindwa kuzitambua na kuzitumia ili kufanikiwa. wengi wamekuwa…

  • Aina kuu mbili za elimu zitakazo kusaidia kufanikiwa Sana kwenye dunia ya sasa.

    Moja Kati ya nyenzo muhimu Sana ya mafanikio katika dunia yoyote Ile ni elimu. Nchi zilizoendelea hasa zile zinazojiita nchi za ulimwengu wa kwanza ziliijua Siri hii mapema Sana na kuamua kuwekeza nguvu zao zote katika kuwa elimisha watu wao na elimu waliyoipata ndiyo imewaletea Maendeleo na mafanikio makubwa waliyonayo sasa. Kwa upekee wa nyenzo…

  • Usiruhusu kushindwa kabla ujajaribu vya kutosha.

    Katika maisha watu wengi sana wameshindwa kufikia mafanikio wanayoyataka siyo kwa sababu hawana uwezo wa kufanya ivyo, bali ni kwa sababu walikubali kushindwa kabla ya kuchukuahatua, na wengine walijaribu kidogo na kuitimisha kuwa haiwezekani. hii inatokana na kuwa sisi binadamu ni viumbe tunaoongozwa na hisia na kabla ya kufanya maamuzi yoyote huwa tunakabiliwa na changamoto…

  • Ijue kanuni ya msingi Sana itakayokusaidia kupata pesa zaidi kwenye maisha yako.

    Ndugu yangu mpendwa karibu kwenye SoMo letu zuri sana siku hii ya Leo tunapokwenda kujifunza kuhusu pesa. kama ilivyo kawaida yetu tunaamka asubuhi na mapema tunaenda kupambana kuzisaka na kuzitafuta pesa. Kuna msemo unasema Biashara asubuhi jioni ni mahesabu, ukimaanisha katika kila shughuri unayofanya kwenye maisha yako unatoa thamani Fulani ambayo ndiyo inakufanya ulipwe pesa.…

  • Kamwe usikate tamaa kwenye maisha yako.

    Maisha ya mwanadamu yanafananishwa na safari ndefu Sana, safari ambayo inaanza siku unapozaliwa na itakamilika siku utakayoondoka hapa duniani. katika safari hii kuna vipindi tofauti tofauti ambavyo lazima utavipitia na kuviishi. Kuna nyakati utakutana na mambo mazuri yenye kukufurahisha na kukupa furaha zaidi. Lakini kuna majira yatafika utakutana na mambo magumu, changamoto, tabu, shida na…

  • Ijue maana halisi ya pesa na maeneo ambayo pesa imejificha.

    Pesa ni moja ya kitu muhimu Sana ambacho mwanadamu anatakiwa kuwa nacho ili aweze kutimiza maitaji yake kwenye maisha. pamoja na kuwa tumekuwa tunaitumia pesa katika kutimiza maitaji yetu ya kila siku katika maisha, bado watu wengi sana hawajui maana halisi ya pesa. Hii ni kutokana na kuwa katika mfumo wa shule hakuna masomo yanayofundishwa…

  • Unaona nini ndani yako.

    Sisi wanadamu tumeumbwa katika namna mbili moja ni roho ( mtu wa ndani) na pili ni mwili ( mtu wa nje) Namna tunavyoishi , jinsi tunavyofanya mambo mbalimbali na namna tunavyoenenda katika dunia hii inategemea Sana na kile kilicho ndani yetu. akili yako ndiyo imeumba aina ya maisha unayoishi na ndiyo itakayoumba aina ya maisha…

  • kuwa tayari kuanzia chini.

    Mtu yeyote mwenye ndoto kubwa maishani lazima awe tayari kuanza kuishi ndoto yake kwa kufanya mambo mbalimbali ili kuipa uhai ndoto iyo . Na msingi mzuri hapa ni kujua kuwa atatakiwa kuanzia chini kabisa. watu wengi sana wamekufa na ndoto zao na wengine wanaendelea kuishi bila kutimiza ndoto zao kwa sababu wanaona kama bado hawana…

Una Maoni Yoyote?