Usiruhusu kushindwa kabla ujajaribu vya kutosha.

Katika maisha watu wengi sana wameshindwa kufikia mafanikio wanayoyataka siyo kwa sababu hawana uwezo wa kufanya ivyo, bali ni kwa sababu walikubali kushindwa kabla ya kuchukuahatua, na wengine walijaribu kidogo na kuitimisha kuwa haiwezekani. hii inatokana na kuwa sisi binadamu ni viumbe tunaoongozwa na hisia na kabla ya kufanya maamuzi yoyote huwa tunakabiliwa na changamoto […]

Read More »

Ijue kanuni ya msingi Sana itakayokusaidia kupata pesa zaidi kwenye maisha yako.

Ndugu yangu mpendwa karibu kwenye SoMo letu zuri sana siku hii ya Leo tunapokwenda kujifunza kuhusu pesa. kama ilivyo kawaida yetu tunaamka asubuhi na mapema tunaenda kupambana kuzisaka na kuzitafuta pesa. Kuna msemo unasema Biashara asubuhi jioni ni mahesabu, ukimaanisha katika kila shughuri unayofanya kwenye maisha yako unatoa thamani Fulani ambayo ndiyo inakufanya ulipwe pesa. […]

Read More »

Kamwe usikate tamaa kwenye maisha yako.

Maisha ya mwanadamu yanafananishwa na safari ndefu Sana, safari ambayo inaanza siku unapozaliwa na itakamilika siku utakayoondoka hapa duniani. katika safari hii kuna vipindi tofauti tofauti ambavyo lazima utavipitia na kuviishi. Kuna nyakati utakutana na mambo mazuri yenye kukufurahisha na kukupa furaha zaidi. Lakini kuna majira yatafika utakutana na mambo magumu, changamoto, tabu, shida na […]

Read More »

Ijue maana halisi ya pesa na maeneo ambayo pesa imejificha.

Pesa ni moja ya kitu muhimu Sana ambacho mwanadamu anatakiwa kuwa nacho ili aweze kutimiza maitaji yake kwenye maisha. pamoja na kuwa tumekuwa tunaitumia pesa katika kutimiza maitaji yetu ya kila siku katika maisha, bado watu wengi sana hawajui maana halisi ya pesa. Hii ni kutokana na kuwa katika mfumo wa shule hakuna masomo yanayofundishwa […]

Read More »

Unaona nini ndani yako.

Sisi wanadamu tumeumbwa katika namna mbili moja ni roho ( mtu wa ndani) na pili ni mwili ( mtu wa nje) Namna tunavyoishi , jinsi tunavyofanya mambo mbalimbali na namna tunavyoenenda katika dunia hii inategemea Sana na kile kilicho ndani yetu. akili yako ndiyo imeumba aina ya maisha unayoishi na ndiyo itakayoumba aina ya maisha […]

Read More »

kuwa tayari kuanzia chini.

Mtu yeyote mwenye ndoto kubwa maishani lazima awe tayari kuanza kuishi ndoto yake kwa kufanya mambo mbalimbali ili kuipa uhai ndoto iyo . Na msingi mzuri hapa ni kujua kuwa atatakiwa kuanzia chini kabisa. watu wengi sana wamekufa na ndoto zao na wengine wanaendelea kuishi bila kutimiza ndoto zao kwa sababu wanaona kama bado hawana […]

Read More »

Chagua Eneo Moja La Kufanyia Kazi Kwenye Maisha Yako

Kitu kimoja kitakacho kusaidia Sana kwenye maisha yako ni kuchagua eneo moja ambalo utakuwa Bora zaidi. Watu wengi wamekuwa wanafanya makosa kwa kuamini kwamba wanaweza kufanya mambo mengi kwa wakati mmoja lakini ukweli ni kuwa haiwezekani kwa wewe kuwa na ufanisi katika maeneo yote. Hii inatokana na kuwa katika kila eneo kuna ujuzi mahususi unatakiwa, […]

Read More »

Ndoto Yako Inawezekana.

Ndugu yangu mpendwa karibu sana kwenye blog hii ya Timiza Ndoto Academy sehemu ambayo unakwenda kujifunza na kubadilisha maisha yako kabisa kupitia makala mbalimbali katika maeneo ya Maendeleo Binafsi, elimu ya msingi ya fedha, elimu ya msingi ya biashara na maisha kwa ujumla. Ndugu yangu kila mmoja wetu ana ndoto kubwa ambayo inaishi ndani yake. […]

Read More »