• Ukiwekeza kwenye iki basi utafanikiwa Sana

    Toka enzi na enzi watu wamekuwa wakitafuta mafanikio kupitia shughuri mbalimbali. Kuna ambao wamekuwa wakifanya Kazi za kuajiriwa na wengine kujikita katika shughuri zao binafsi ikiwemo biashara, kilimo pamoja na ufugaji kwa lengo la kutafuta mafanikio na kuwa na furaha maishani. Lakini watu wengine ikiwemo wale walioweza kufikia mafanikio ya juu zaidi wamekuwa wakisema wao…

  • Ushindi unatengenezwa

    kila mtu aliyepo hapa duniani amezaliwa akiwa na uwezo wa kipekee Sana ndani yake. Kila mmoja alipewa vipaji, karama na mambo mengine mengi mazuri ambayo kama akiyatumia vizuri anaweza kufanikiwa na kuwa na maisha yenye kugusa watu wengi na kuacha alama kwa kuifanya dunia kuwa sehemu bora zaidi ya kuishi kutokana na maajbu atakayo kuwa…

  • Sababu kuu tatu kwa nini waajiriwa wengi wameshindwa kuanzisha biashara nje ya ajira

    Watu wengi sana ambao wameajiriwa wamekuwa na changamoto moja kubwa Sana inayo wakabili katika maisha yao ambayo ni kushindwa kufikia uhuru wa kipato. Jambo ili limechangiwa zaidi na wao kutegemea chanzo kimoja cha kipato hali inayowafanya washindwe kupiga hatua kubwa maishani, kwani licha ya kuwa wengi wao wana pambana kufanya Kazi kwa bidii bado sehemu…

  • Jenga vyanzo vingi vya mapato

    Maisha ya mwanadamu hayawezi kuwa na maana na yenye furaha bila kuwa na uwezo wa kifedha kutokana na sababu hii kubwa na ya msingi Kila mtu amekuwa akiamka asubuh na mapema kwenda huku na kule kufanya Kazi kwa bidii ili aweze kupata pesa,kwani kupitia pesa ndiyo mwanadamu anaweza kutimiza maitaji yake hii ni kwa sababu…

  • Utumwa wa chanzo kimoja cha mapato kwa waajiriwa wengi

    Ndungu yangu mpendwa. watu wengi waliojiriwa wana changamoto moja kubwa Sana ambayo ina wakosesha furaha na kushindwa kupiga hatua kwenye maisha yao licha ya kuwa katika jamii zetu aliye ajiriwa anaonekana ni mtu ambaye ana mafanikio na amepiga hatua kuliko wale ambao hawapo kwenye ajira, bado waajiriwa wengi wanapitia mateso na taabu kubwa kwa sababu…

  • Fikiri kwa ukubwa ili ufanikiwe

    Moja ya sababu kubwa iliyowafanya wale waliofanikiwa kuweza kufanikiwa zaidi katika maisha yao ni uwezo wao wa kufikiri kwa ukubwa na upana. kufikiri kwa ukubwa na upana kunatoa nafasi ya kuisukuma akili kulazimika kufanya mambo ambayo kwa kawaida ni ngumu kwa mtu kuweza kufanya. hii ni kutokana na kuwa sisi wanadamu huwa tunauwezo mkubwa Sana…

  • Usirudie makosa Aya kwa mwaka 2024

    Ndugu yangu mpendwa heri ya mwaka Mpya leo ikiwa ni siku nyingine na mwaka mwingine wa 2024 ambao Mungu ametupa kama zawadi ninataka nikushirikishe mambo muhimu Sana ambayo kama utayafanyia Kazi yatakwenda kubadirisha maisha yako kabisa ni kweli umekuwa na mwaka mzuri Sana wa 2023 pamoja na miaka mingine iliyopita katika miaka iyo uliweza kufanya…

  • Iki ndicho kinakufunga na kukuzuia kufanikiwa zaidi.

    Ndugu yangu mpendwa moja ya kitu ambacho kimekwamisha watu wengi na kitaendelea kukwamisha watu wengi kufikia mafanikio makubwa zaidi kwenye maisha Yao ni AJIRA NA MAISHA YA MSHAHARA Inawezekana ukawa umeshangazwa na kauli hii kwamba ajira na maisha ya mshahara ni kikwazo cha mafanikio makubwa kwa watu wengi kwenye maisha, kwa sababu umekuwa ukiamini kuwa…

  • Usumbufu namba moja kwa Karne ya 21

    moja ya kitu kikubwa kufanyika kwa mafanikio makubwa katika Karne ya 21 ni mapinduzi makubwa Sana ya ki teknologia. Kupitia ukuwaji huu wa teknologia tumeona mambo mengi Sana yamebadilika katika nyanja mbalimbali za maisha kuanzia, uchumi, uchukuzi, viwanda, biashara, Kazi na Huduma mbalimbali katika jamii. kila kitu sasa kinafanyika kwa urahisi zaidi kwa kutumia teknologia…

  • Iki ndicho kitatokea kwa watu wengi miaka 20 ijayo

    Ndugu yangu mpendwa Kitu chochote ambacho hukukifanya Leo katika maisha yako, iwe ni kwa kujua au kuto kujua miaka 20 baadae utajilaumu Sana kwa kutokukifanya pengine utajutia Sana na Wenda usijisamehe kabisa. Watu wengi tumekuwa na tabia ya kughairisha mambo muhimu Sana kwenye maisha kwa kuona kama muda sahihi wa kufanya bado haujafika…. ……Lakini wakati…

Una Maoni Yoyote?